History
Skuli ya Sekondari ya Biashara imefunguliwa rasmi na aliekuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Amani Abeid Karume mnamo tarehe 04 Januari 2001.
Skuli ilianza kwa wana wanafunzi kutoka katika skuli ya kiponda ambapo ndiyo skuli iliokuwa ikifundisha masomo ya biashara wakati huo.
kuazia mwaka 2002 skuli ya sekondari ya biashara ilianza kupokea wanafunzi waliofaulu darasa la saba kwa mchipuo wa biashara na kuanzia mwaka 2004 skuli ikaanza kupokea wanafunzi waliofaulu kwa mchipuo wa compyuta.
Ilianza kufundisha wanafunzi kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita kwa masomo ya bishara na kidato cha kwanza hadi cha nne kwa masomo ya compyuta. Mnamo mwaka 2007 skuli ya sekondari ya biashara ilianza kufundisha kidato cha tano na sita kwa masomo ya compyuta.
Subscribe to:
Posts (Atom)
No comments:
Post a Comment